Hatua ya Katibu Mkuu wa UN kuwasilisha vipaumbele vyake kwa Baraza Kuu ina maana gani?
Hii leo Januari 21, mwaka 2022, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amewasilisha vipaumbele vyake kwa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya ngwe nyingine ya mwaka baada ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.