vijana

Mchango wa vijana ni muhimu katika kuhuisha haki za binadamu: UN

Mchango wa vijana umeelezwa kuwa ni muhimu na wa lazima katika kuhakikisha haki za binadamu zinadumishwa kote duniani. 

Vijana waandaliwa kwa fursa lukuki kwneye ujenzi wa miundombinu ya mafuta, Uganda

Nchi nyingi duniani kote zinakumbana na changamoto ya uhaba wa ajira kwa vijana ambayo ni kizingiti kikubwa katika utekelezaji wa lengo namba moja la malengo yamaendeleo endelevu SDGs linalochagiza juhudi za kutokomeza umaskini wa aina yoyote ile.

Sauti -
3'42"

Ni sisi wanawake tutakaoubadilisha msemo wa adui wa mwanamke ni mwanamke-Jonitha Nitoya Joram

Mabadiliko chanya katika jamii yanaweza kuanzishwa na mtu mmoja tu, hiyo ndiyo imani ya msichana Jonitha Nitoya Joram muhitimu wa Chuo Kikuu ambaye ameamua kuutumia muda wake wa ziada kuwaelimisha wasichana wenzake na wanawake wafanyabiashara nchini Tanzania ambao hawana elimu ya ujasiriamali.

Sauti -
3'33"

27 NOVEMBA 2019

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anakuletea

Sauti -
11'2"

Nchini Tanzania UN yatekeleza kwa vitendo uwezeshaji vijana

Kauli ya Umoja wa Mataifa ya kuhakikisha kuwa vijana wanajengewa  uwezo ili washiriki kikamilifu katika kufanikisha maendeleo endelevu, SDGs imeendelea kutekelezwa maeneo mbambali ambapo nchini Tanzania vijana takriban 50 kutoka wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam, wamepokea mafunzo kwa ajili y

Sauti -
1'31"

UN yatekeleza kwa vitendo uwezeshaji vijana Tanzania

Kauli ya Umoja wa Mataifa ya kuhakikisha kuwa vijana wanajengewa  uwezo ili washiriki kikamilifu katika kufanikisha maendeleo endelevu, SDGs imeendelea kutekelezwa maeneo mbambali ambapo nchini Tanzania vijana takriban 50 kutoka wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam, wamepokea mafunzo kwa ajili ya kuimarisha stadi zao za ujasiriamali. 

Ushirikishwaji wa vijana utaongeza tija ya utekelezaji wa ICPD: Sima Bateyunga

Mkutano wa maadhimisho ya 25 ya azimio la ICPD ukiendelea mjini Nairobi Kenya imeelezwa kuwa mchango wa vijana ni muhimu sana katika utekelezaji wake na kuhakikisha kwamba hakuna mwanamke na msichana anayesalia nyuma katika ejenda ya maendeleo endelevu.

UNEP yataka hatua zaidi kuepusha madhara yatokanayo na uchakataji wa taka za kielektroniki

Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa,  UNEP, limesema taka za kielektroniki ni mbaya na hatari kwani haziyeyuki na zinachafua mazingira.

Sauti -
1'56"

Taka za elektroniki zageuka mali Nigeria:UNEP 

Shirika la mazingira la Umoja wa Mataifa,  UNEP, limesema taka za kielektroniki ni mbaya na hatari kwani haziyeyuki na zinachafua mazingira. Hata hivyo hivi sasa baadhi ya vijana katika nchi mbalimbali ikiwemo Nigeria wameamua kuwa wabunifu na kugeuza taka hizo kuwa mali.

Ongezeko ya matatizo ya afya ya akili miongoni mwa vijana lasukuma UNICEF na WHO kuchukua hatua

Takriban asilimia 20 ya barubaru duniani kote wamekumbwa na magonjwa ya akili na karibu asilimia 15 ya barubaru katika nchi za kipato cha chini na wastani wametafakari kuhusu kujiua, imesema taarifa ya Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF na lile la afya ulimwenguni, WHO.