vijana

Vita vikiisha Syria, nitarejea na kufungua duka la mikate ya kijerumani- Mkimbizi

Nchini Ujerumani, mmiliki mmoja wa duka la kuoka mikate ameleta matumaini kwa vijana wakimbizi ambao awali walihisi maisha yao yametumbukia nyongo kutokana na changamoto walizokuwa wanakumbana nazo ikiwemo lugha na fursa za kujiendeleza. Grace Kaneiya na ripoti kamili.

19 Disemba 2018

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Arnold Kayanda anaangazia

Sauti -
11'52"

23 Novemba 2018

Leo hii katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa Assumpta Massoi anakuletea

-Baraza la Biashara Afrika Mashariki lataka itifaki ya Kigali idhizie kote Afrika

-Ukata katika shirika la msaada kwa wakimbizi wa Kipastina , UNRWA watishia mustakabali wa watoto wa Kipalestina

Sauti -
11'47"

Tukishirikishwa tuna mchango katika kutatua changamoto za dunia:Kijana Ajwang

Vijana wanaoshiriki jukwaa la Umoja wa Mataifa la muungano wa ustaarabu mjini New York Marekani wametoa wito wa ujumuishwaji wa vijana katika utafutaji wa suluhu ya changamoto zinazoikabili dunia hivi sasa ikiwemo kujihusisha katika vitendo vya uvunjivu wa Amani na itikadi kali.

Mpira utamwepusha kijana kwenda kubeba bunduki- Mutombo

Balozi wa kimataifa wa chama cha mpira wa kikapu nchini Marekani,  NBA, Dikembe Mutombo amesema kuwapatia vijana elimu inayowawezesha kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani ni suala mujarabu katika kutekeleza lengo namba 16 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linalohusu amani, haki na taa

Sauti -
1'52"

Siku ya UN, wakimbizi Uganda wapaza sauti

Ikiwa leo ni siku ya Umoja wa Mataifa, makundi mbalimbali yamezungumzia kile ambacho chombo hicho kinawasaidia katika zama za sasa zilizogubikwa na changamoto lukuki.

Sauti -
3'23"

Matatizo ya afya ya akili ni changamoto kubwa kwa vijana na jamii:WHO

Nusu ya magonjwa yote ya akili duniani  yanaaza katika umri wa miaka 14 na mengi ya hayabainiki wala kutibiwa, suala linaloweka mustakabali wa vijana wengi njia panda, limesema shirika la afya duniani WHO. 

Vijana wa sasa si wa kusubiri kufunguliwa milango- Rais Ramaphosa

Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini amehutubia mjadala mkuu wa Baraza la Kuu la Umoja wa Mataifa ikiwa ni mara ya kwanza tangu achaguliwe kushika wadhifa huo akisema kuwa vijana wa sasa si wale wa kusubiri kufunguliwa milango.

Matarajio yetu kwa dunia iliyo sawa ni kwenu vijana: Guterres

Umoja wa Mataifa leo umezindua mkakati wake mpya wa kuimarisha mchango wa takribani vijana bilioni 2 duniani  kwa lengo kukuza amani, uadilifu pamoja na kuwa na  dunia endelevu.

Kutoka uchuuzi wa karanga hadi kusafirisha China

Jukwaa la kimataifa la kuchagiza biashara ya nje likikunja  jamvi hii leo huko Lusaka nchini Zambia, kijana mmoja mjasiriamali kutoka Gambia ameelezea jinsi ambayo ameweza kukuza biashara yake ya karanga  kutoka uchuuzi wa barabarani hadi kusafirisha nje ya nchi.