Chuja:

Usonji

14 Julai 2021

Jaridani Jumatano na Assumpta Massoi

Pombe imebainika kuwa kisababishi cha wagonjwa wapya 740,000 wa saratani au kansa kwa mwaka jana wa 2020.

Mafunzo ya kuishi na watoto wenye usonji yaleta manufaa kwa wazazi nchini Argentina.

Maelfu ya wakazi wa Khushal Khan ambayo ni moja ya viunga vya jiji la Kabul nchini Afghanstan wanafurahia hali bora ya hewa na mitaa misafi baada ya utekelezaji wa mradi mkubwa wa ukarabati wa barabara na mitaa  unaosimamiwa na Benki ya Dunia.

Sauti
12'55"
Photo from U.Plus Academy

Mzazi aishukuru WHO kwa kupatiwa mafunzo ya kuishi na mtoto wake mwenye usonji

Shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni WHO kwa kushirikiana na shirika la PANAACEA wanatoa mafunzo nchini Argentina ya kuwezesha watoto wenye usonji kukabiliana na changamoto za ulemavu zinazowakabili ikiwemo kuchelewa kuzungumza. 


(Taarifa ya Leah Mushi) 
 Nchini Argentina, mtoto Gabriel na nduguze wawili wakicheza mezani wakiwa na mama  yao. 

Sauti
2'38"