usalama

Ukame wasukuma wasomali kukimbia kusaka hifadhi Ethiopia

Hali mbaya ya ukame na usalama nchini Somalia imewalazimu maelfu wa watu kuendelea kufungasha virago tena na kukimbia nchi jirani ya Ethiopia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
1'52"

Ukame wawalazimu Wasomali zaidi kufungasha virago kuingia Ethiopia: UNHCR

Hali mbaya ya ukame na usalama nchini Somalia imewalazimu maelfu wa watu kuendelea kufungasha virago tena na kukimbia nchi jirani ya Ethiopia kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR. 

Katibu Mkuu amuhakikishia rais wa DRC msaada wa kupambana na Ebola

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, leo amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kandoni mwa mkutano wa ngazi ya Baraza Kuu la Umoja huo unaoendelea jijini New York Marekani.

Heko Somalia kwa mabadiliko ya kiusalama:UNSOM

Umoja wa Mataifa, Muungano wa Afrika, Muungano wa Ulaya, serikali ya Uingereza na serikali ya Marekani wamekatribisha hatua iliyochukuliwa na waziri mkuu wa Somalia Hassan Ali Khaire kuwaeleza wadau hao wa kimataifa kuhusu mabaddiliko katika sekta ya usalama nchini humo na miapango inachukuliwa na serikali kuendelea kuimarisha hali ya usalama Somalia.

Visa zaidi vya Ebola vyabainika DRC

Shirika la afya duniani, WHO limesema katika siku nne zilizopita, watu wengine 27 wamethibitika kuwa na virusi vya Ebola huko jimbo la Kivu Kaskazini, nchini

Sauti -
2'9"

Bado Tripoli si salama

Yumkini hali ya mambo bado si shwari kwenye mji mkuu wa Libya, Tripoli ambako tangu kuzuka machafuko wiki iliyopita takriban raia 21 wameuawa wakiwemo wanawake na watoto huku 16 wakijeruhiwa. Sasa Umoja wa Mataifa watoa wito kwa pande kinzani kuwanusuru raia hao. 

Sauti -
2'37"

Chonde chonde wapiganaji DRC wekeni silaha chini ili tukabili Ebola- WHO

Shirika la afya duniani, WHO limetoa wito kwa vikundi vilivyojihami huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC viweke silaha chini ili kama njia mojawapo ya kufanikisha harakati za kuepusha kuenea zaidi kwa ugonjwa wa Ebola mashariki mwa nchi hiyo.

Ukatili dhidi ya raia CAR bado waendelea- Baraza

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeeleza masikitiko yake makubwa kutokana na kuendelea kwa ghasia zinazofanywa na vikundi vilivyojihami huko Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR.

Watu CAR wanakata tamaa kutokana na hali ya usalama- UN

Watu wa Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, wanateseka zaidi kutokana na hali ya usalama kuendelea kuvurugikahuku wakikatishwa tamaa na wale ambao wanapaswa kuwalinda.

Mimba za utotoni ni zahma kwa wasichana na jamii

Mimba za utotoni ni changamoto kubwa nchini Tanzania na hususani katika maeneo ya vijijini.  Serikali ya nchi hiyo ikishirikiana na wadau mbalimbali wa elimu, ustawi wa jamii na mashirika ya kitaifa na kimataifa kama la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF wanaelimisha jamii wakiwemo wasichana wadogo mashuleni athari za mimba hizo.