Ongezeko la idadi ya maafa pwani ya Libya inasikitisha
Zaidi ya wahamiaji 200 wamekufa maji kwenye baharí ya Mediterranea katika kipindi cha siku tatu zilizopita na kufanya idadi ya vifo mwaka huu kufikia takriban elfu moja, hiyo ni kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji duniani, IOM.