uongozi

Tumemuomba Guterres asiwasahau watanzania katika nafasi za juu za uongozi: Mulamula 

Waziri wa Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wa Tanzania, Balozi Liberata Mulamula amefanya ziara maalum katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani, kuwasilisha ujumbe wa rais wa nchi hiyo Samia Suluhu Hassan.

Mwanamke, kwenye uongozi huletewi kadi kama harusi - Balozi Getrude Mongela.

Mwanamke, kwenye uongozi huletewi kadi kama harusi - Balozi Getrude Mongela.

Sauti -
6'44"

19 MACHI 2021

Katika jarida hili la mada kwa kina leo Grace Kaneiya anakuletea

-Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Tanzania Zlatan Milisic amempongeza Samia Suluhu Hassan kuapishwa na kuwa mwanamke wa kwanza Rais nchini Tanzania na kuahidi kushirikiana na serikali yake

Sauti -
12'6"

Ni wakati wa kuhakikisha mwanamke anashika usukani kila nyanja Guterres akiambia kikao cha CSW65

Mkutano wa kamisheni ya hali ya wanawake  duniani kikao cha 65 umefungua pazia hii leo ikiwa ni mara ya pili kufanyika katika mazingira ya janga la virusi vya corona au covid-19 ambapo Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema janga hili lina sura ya mwanamke akisema kwamba hali ya sasa imedhihirisha jinsi ukosefu wa usawa wa kijinsi ulivyo kwa kiasi kikubwa na umekita mizizi katika mifumo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi. 

Wanawake wakiwa na uwezo wa kufanya maamuzi ni ushindi kwa kila mtu:Guterres 

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres leo amefanya mkutano wa kimataifa na mamia ya wawakilishi kutoka asasi za kiraia kumulika suala la wanawqake baada ya mkutano wa kila mwaka kuhusu hali ya wanawake duniani ambao hufanyika mwezi Machi kufutwa mwaka huu kwa sababu ya janga la corona au COVID-19. 

Wanawake viongozi Tanzania ni viongozi bora:Waziri Ummy

Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika harakati za ukombozi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali iikiwemo kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Flora Nducha na tarifa zaidi

Sauti -
1'46"

Tunachokipigania Tanzania sio idadi tu bali pia ubora wa wanawake viongozi: Ummy Mwalimu

Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika harakati za ukombozi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali iikiwemo kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Flora Nducha na tarifa zaidi

Bado wanawake hawawakilishwi kwa kiasi kikubwa Kenya , wanaopata nafasi wanathaminiwa:Laboso

Wanawake duniani koete ikiwemo nchini Kenya bado hawapewi nafasi kubwa ya kuwakilishwa katika masuala ya siasa na uongozi lakini kwa wachache wanaopata fursa hiyo wanafanya kazi nzuri na mchango wao kuthaminiwa amesema Joyce Laboso gavana wa kaunti ya Bomet nchini Kenya akizungumza na Idhaa ya Ki

Sauti -
1'53"