Unywaji Pombe

Unsplash/chuttersnap

Fahamu maeneo 7 yanayoathirika zaidi na saratani sababu ya pombe

Habari mpya kuhusu ugonjwa wa saratani inasema kwamba pombe imebainika kuwa kisababishi cha wagonjwa wapya 740,000 wa saratani au kansa kwa mwaka jana wa 2020. Takwimu  hizo ni za ulimwengu mzima na zimetolewa na taasisi ya kimataifa ya utafiti wa saratani, IARC, ambayo ni taasisi tanzu ya shirika la Umoja wa Mataifa la afya ulimwenguni, WHO. 

(Taarifa ya Moses Mghase)

Sauti
1'56"