UNWomen

Hoja ya wanawake inakumbwa na ukata- Phumzile

Zaidi ya miaka miwili tangu kupitishwa kwa malengo ya maendeleo endelevu, SDGs , mwelekeo wa usawa wa kijinsia katika kutekeleza malengo hayo bado unatia hofu.

Sauti -
2'6"

UNWomen yaalika wanaume kuonyesha mshikamano na wanawake

UNWomen yaalika wanaume kuonyesha mshikamano na wanawake

Ikiwa leo ni siku ya mshikamano duniani, shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya wanawake, UNWomen limetaka wanaume wasisalie kimya wakati huu ambapo vyombo vya habari vimegubikwa na habari za wanawake kukabiliwa na ukatili wa kingono. Patrick Newman na ripoti kamili.

Sauti -

Kuwezesha mwanamke bila kuelimisha mwanaume ni bure- UNWomen

Kuwezesha mwanamke bila kuelimisha mwanaume ni bure- UNWomen

Siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake zikiendelea kupigiwa chepuo kila kona ulimwenguni, imeelezwa kuwa kumwezesha mwanamke bila kumuelimisha mwanaume hakuna tija yoyote. Selina Jerobon na maelezo zaidi.

(Taarifa ya Selina Jerobon)

Sauti -