UNOSSC

Tamasha la Kusini-Kusini 2017 lakunja jamvi Uturuki

Tamasha la Kusini-Kusini 2017 lakunja jamvi Uturuki

Tamasha la kimataifa la ushirika wa Kusini-Kusini mwaka 2017 leo limekunja jamvi mjini Antalya Uturuki huku umoja wa Mataifa na wadau wakifurahia matokeo .

Sauti -

Ushirika wa Kusini-Kusini ni muhimu katika kufanikisha SDG’s:UNOSSC

Ushirika wa Kusini-Kusini ni muhimu katika kufanikisha SDG’s:UNOSSC

Wakati nchi nyingi zinazoendelea zikiunda suluhu na miradi itakayoweza kutumiwa pia na watu wengine na wakati huohuo kuwa na fursa zaidi za kufanya uwekezaji wa kibiashara na uhamishaji wa teknolojia miongoni mwao, ushirika wa Kusini-Kusini unazidi kuwa muhimu katika kufikia ajenda ya 2030 ya mae

Sauti -