unnews

Saratani yasababisha hasara ya dola bilioni 46

Saratani yasababisha hasara ya dola bilioni 46

Ripoti mpya kutoka katika kituo  cha kimafaida cha utafiti wa ugonjwa wa saratani duniani,IARC inasema ugonjwa huo imezigharimu nchi zenye uchumi wa kati  ,kiasi cha dola za kimarekani bilioni 46 tangu  mwaka 2012.

Sauti -

FAO na IOM wanoa ushirika kwa ajili ya uhamiaji

Shirika la chakula na kilimo

Sauti -

Guterres akutana na waasi wa zamani wa FARC Colombia

Guterres akutana na waasi wa zamani wa FARC Colombia

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ametembelea iliyokuwa  ngome ya waasi wa FARC  huko mji wa Mesetas, Meta colombia na kujionea mchakato wa maendeleo ya waliokuwa wana

Sauti -

Ahadi yetu Colombia ipo palepale:Guterres

Ahadi yetu Colombia ipo palepale:Guterres

Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchi  Colombia, Amerika kusini katika jitihada za kuendeleza mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na makundi y

Sauti -