Ripoti mpya kutoka katika kituo cha kimafaida cha utafiti wa ugonjwa wa saratani duniani,IARC inasema ugonjwa huo imezigharimu nchi zenye uchumi wa kati ,kiasi cha dola za kimarekani bilioni 46 tangu mwaka 2012.
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres, ametembelea iliyokuwa ngome ya waasi wa FARC huko mji wa Mesetas, Meta colombia na kujionea mchakato wa maendeleo ya waliokuwa wana
Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres yupo ziarani nchi Colombia, Amerika kusini katika jitihada za kuendeleza mazungumzo ya amani kati ya serikali ya Colombia na makundi y