UNMISS

UNMISS inakwenda bega kwa bega na wakazi kuhakikisha amani Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini,

Sauti -
2'3"

Tunasonga mbele pamoja katika kujenga amani, imani na kuaminiana-Shearer

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini, UNMISS na Tume iliyoundwa upya ya pamoja ya uangalizi na tathimini, JMEC wamefanya hafla maalum kwa lengo la kuchagiza amani na kuimarisha akataba wa amani wa mwezi  Septemba mwaka 2018.

Tume ya haki za binadamu imeanza ziara Sudan Kusini, Uganda, Kenya na Ethiopia

Wajumbe wa tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa kwa  ajili ya Sudan Kusini leo wameanza ziara ya siku kumi katika nchi nne za Afrika ambazo ni Sudan Kusini, Uganda, Kenya na Ethiopia.

UNMISS yaenda Yei kusikiliza maswaibu ya wakazi

Nchini Sudan Kusini, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo, 

Sauti -
2'32"

UNMISS yafunga safari kufahamu vitisho wapatavyo wakazi wa Yei

Nchini Sudan Kusini, ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini humo,  UNMISS umechukua hatua ya kufunga safari na kukutana na jamii hasa kwenye maeneo yenye mzozo ili kuweza kupata simulizi zao kuhusu vitisho ambavyo wanakutana navyo na hatimaye waweze kufahamu hatua mahsusi za kuepusha ghasia. 

Bandari ya Mangala ni neema kwa Wasudan Kusini na wahudumua wa misaada:UNMISS

Kwa muda mrefu usafisrishaji wa mahitaji mbalimbali kwenye operesheni za mpango wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS ambao unatumia aina mbalimbali za usafiri ukiwemo wa angani, barabara na majini kufikisha huduma lakini sasa kupitia bandari ya Mangala imekuwa rahisi kufikisha misaada inayohitajika kwa maelfu ya watu.

UN na Liberia watia saini makubaliano ya uchangiaji wa vikosi vya ulinzi wa amani.

Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa ajili ya operesheni za amani mashinani Atul Khare na mwakilishi wa kudumu wa Liberia katika Umoja wa Mataifa Balozi Dee-Maxwell Saah Kemayah, mjini New York  Marekani  wametia saini makubaliano ya kutambua mchango wa vikosi vya ulinzi wa amani kwa ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kuweka utulivu Mali, MINUSMA. Ujumbe huo wenye walinda amani 105 umekuwa ukihudumu huko Timbuktu tangu Oktoba mwaka 2016.

Kandanda yawaleta pamoja vijana mahasimu Sudan Kusini

Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini

Sauti -
1'46"

18 Julai 2019

Miongoni mwa habari anazokuletea Assumpta Massoi katika Jarida letu hii leo

-Nelson Mandelea aeinziwa duniani kote huku Umoja wa Mataifa ukihimiza akumbukwe kwa vitendo na si maneno

Sauti -
12'8"