UNMISS

UNMAS  yategua mabomu huko Bor, wananchi wasema sasa watoto watacheza bila uoga

Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya uteguzi wa mabomu ardhini UNMAS imebaini na kuondoa vilipuzi na mabomu ya kutegwa ardhini ambayo yalikuwa hayajalipuka kwenye eneo la Thon-Awai lililoko kilometa 5 kutoka mji wa Bor jimboni Jonglei.

Wachunguzi wa haki za binadamu wamiminika Bentiu Sudan Kusini kuchuguza visa vya ubakaji.

Wachunguzi wa masuala ya haki za binadamu wanamiminika huko Bentiu  nchini Sudan Kusini kuchunguza madai ya visa vya kubakwa kwa wanawake na wasichana 150 kwa siku 10 mwishoni mwa mwezi uliopita.

UNIMISS Imelaani vikali ukatili wa kingono dhidi ya wanawake 125 Bentiu

Ujumbe wa  Umoja wa Mataifa nchini Sudan kusini UNMISS umelaani vikali  mfululuzo wa mashambulizi ya ukatili wa kingono dhidi ya wanawake na wasichana waliokuwa wakisafiri kutoka vijijini kwao kuelekea Bentiu kwenye jimbo la Unity.

Walinda amani zaidi kupelekwa jimbo la Nile Magharibi

Umoja wa Mataifa umesema walinda amani zaidi kutoka chombo hicho watapelekwa kwenye jimbo la Nile Magharibi huko Sudan Kusini ili kufanikisha urejeshaji wa raia waliokimbia kutokana na mapigano. 

Kutoka kubeba mtutu wa bunduki hadi ufundi cherehani

Watoto wapiganaji wa zamani katika vita vya wenye kwa wenyewe nchini Sudan Kusini , hatimaye wameaanza kuona nuru baada ya elimu inayotolewa na shirika la Veterinaires Sans Frontieres kutoka Ujerumani, kuwasaidia kujikimu.

Sauti -
2'35"

Kuna haja ya kujikita na waathirika wakubwa wa mzozo wa Sudan Kusini:UN/AU

Ujumbe wa pamoja wa Umoja wa Mataifa na Muungano wa Afrika AU ambao uko ziarani Sudan Kusini kwa siku tatu, umeonyesha mshikamano wake na watu pamoja na uongozi wa nchi hiyo ukisema uko tayari  kuunga mkono mkataba wa amani uliotiwa saini hivi karibuni mjini Addis Ababa.

Heshimu makubaliano wanaohasimiana Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa umezitaka pande kinzani nchini Sudan Kusini ziheshimu makubaliano mapya ya kusitisha mapigano ambayo pande hizo zilitia saini hivi karibuni ili kumaliza mapigano yaliyogubika nchi hiyo tangu mwezi disemba mwaka 2013. 

Sauti -
1'50"

19 Septemba 2018

Jarida na Anold Kayanda

-Ripoti ya UNICEF yasema kuwa elimu yasalia ndoto kwa watoto milioni 303 duniani.

Sauti -
11'21"

Mnaohasimiana Sudan Kusini heshimuni makubaliano kati yenu- UN

Umoja wa Mataifa umezitaka pande kinzani nchini Sudan Kusini ziheshimu makubaliano mapya ya kusitisha mapigano ambayo pande hizo zilitia saini hivi karibuni ili kumaliza mapigano yaliyogubika nchi hiyo tangu mwezi disemba mwaka 2013. Assumpta Massoi na ripoti kamili.

Mashambulizi dhidi ya walinda amani wa UN hayakubaliki- UNMISS

Mlinda amani wa umoja wa mataifa anayehudumu kwenye ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Sudan Kusini, UNMISS amejeruhiwa hii leo baada ya kupigwa risasi na askari wa jeshi la serikali nchini humo, SPLA.