Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Lebanon, UNIFIL umepokea taarifa kutoka kwa jeshi la Israel IDF kuhusu shughuli zake kusini mwa mpaka wa Israel na Lebanon za kutafuta mahandaki yanayoshukiwa kuwepo.
Mkuu wa operesheni za ulinzi wa amani kwenye Umoja wa Mataifa Jean-Pierre Lacroix amekamilisha awamu ya kwanza ya ziara yake katika eneo la Mashariki ya Kati.