UNICEF

Jua, mvua ni vyetu tukisaka elimu:wakimbizi Tanzania

Somalia yaendesha kampeni dhidi ya Surua

Nchini Somalia, mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa ushirikiano na serikali wamehitimisha kampeni ya siku tano ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa Surua iliyolenga watoto milioni 4.2 nchini kote.

Sauti -

Somalia yaendesha kampeni dhidi ya Surua

Chanjo mpya dhidi ya homa ya matumbo yapitishwa

Chanjo yenye uthabiti zaidi dhidi ya ugonjwa wa homa ya matumbo au kuhara damu imepitishwa na shirika la afya ulimwenguni, WHO.

Sauti -

Chanjo mpya dhidi ya homa ya matumbo yapitishwa

Harakati dhidi ya dondakoo zaendelea Cox Bazar

Huko Bangladesh kwenye wilaya ya Cox Bazar kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa dondakoo inaendelea kwa wakimbizi kutoka Rohingya. Taarifa zaidi na Joseph Msami.

(Taarifa ya Joseph Msami)

Sauti -

Harakati dhidi ya dondakoo zaendelea Cox Bazar

Chonde Chonde 2018 tubadilike la sivyo tunatwama- Guterres

Heri ya mwaka wapendwa marafiki kote duniani! Mwaka huu unapoanza sitoi ombi bali natoa angalizo!

Hiyo ni sehemu ya salamu za mwaka mpya za Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kwa wakazi wa dunia hii wakati mwaka mpya wa 2018 unapoanza.

Sauti -

Chonde Chonde 2018 tubadilike la sivyo tunatwama- Guterres

Kashfa za ukatili wa kingono zinapungua- Lacroix

Mwaka 2017 ulikuwa wa majonzi makubwa kwenye operesheni za ulinzi wa amani za Umoja wa Mataifa. 

Sauti -