UNICEF

Bila takwimu hatuwezi kuwasaidia watoto wote wakimbizi:UNICEF

Mapengo kwenye takwimu za wakimbizi, wahamiaji na wakimbizi wa ndani yanaweka hatarini maisha na mustakhbali wa mamilioni ya watoto waliosafarini, yameonya leo mashirika matano ya Umoja wa Mataifa na wadau wake.

Sauti -
2'

Utukutu wa watu wazima waendelea kutesa watoto Syria- UNICEF

Nchini Syria hakuna dalili zozote za mapigano kumalizika huku watoto walionasa kwenye mzozo huo wakiendelea kukumbwa na jinamizi kila uchao.

Sauti -
1'22"

09 Februari, 2018

Sauti -
9'59"

Utukutu wa watu wazima waendelea kutesa watoto Syria- UNICEF

Nchini Syria hakuna dalili zozote za mapigano kumalizika huku watoto walionasa kwenye mzozo huo wakiendelea kukumbwa na jinamizi kila uchao. 

Utukutu wa watu wazima waendelea kutesa watoto Syria- UNICEF

Mzozo wa Syria sasa ukielekea mwaka wa nane, bado mapigano yanazidi kushika kasi, watoto wakiwa hatarini zaidi na haki zao za msingi zikisiginwa na watu wazima wasiojali chochote.

Sitisheni mapigano Syria tufikishe misaada- UN

Nchini Syria hakuna dalili zozote za mapigano kumalizika huku watoto walionasa kwenye mzozo huo wakiendelea kukumbwa na jinamizi kila uchao.

Sauti -
1'35"

Waasi Sudan Kusini waachilia askari watoto 300

Zaidi ya askari watoto 300 waliokuwa wapiganaji wakiwemo wasichana 87 leo, wameachiliwa huru hii leo na makundi kadhaa ya wapiganaji  nchini Sudan Kusini. 

Sauti -
1'31"

07 Februari 2018

Sauti -
10'21"

Askari watoto 300 watoka katika makundi ya waasi Sudan Kusini

Zaidi ya askari watoto 300 waliokuwa wapiganaji wakiwemo wasichana 87 leo, wameachiliwa huru na makundi kadhaa ya wapiganaji  nchini Sudan Kusini. 

Mwanaume ashika hatamu vita dhidi ya FGM

Leo ni siku ya kimataifa ya kutokomeza ukeketaji wa wanawake na watoto wa kike, FGM,  ambapo  Umoja wa Mataifa kupitia mashirika yake lile la kuhudumia watoto,

Sauti -
1'48"