UNICEF

Nina hisia za kushindwa katika suala la Syria: Egeland

Ukosefu wa kufikishwa misaada kwa jamii nyingi zinazoihitaji zaidi Syria na kura ya turufu inayoendelea kuwa kikwazo cha kuwahamisha mamia ya wagonjwa walio katika hali mbaya ni hisia kama ya "kushindwa", amesema leo mshauri mwandamizi wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Watoto milioni 17 wanavuta hewa yenye sumu duniani:UNICEF

Takribani watoto milioni 17 wenye umri wa chini ya mwaka mmoja wanaishi katika maeneo ambayo hewa chafuzi ni mara sita zaidi ya kiwango cha juu cha kimataifa na kuwasababisha kuvuta hewa yenye sumu ambayo huweka maendeleo ya ubongo wao hatarini.

Sauti -

Watoto milioni 17 wanavuta hewa yenye sumu duniani:UNICEF

Watoto wa kike wang’ara utafiti wa kujua kusoma- UNESCO

Watoto wa kike wang’ara utafiti wa kujua kusoma- UNESCO

Zaidi ya asilimia 96 ya watoto wenye umri wa miaka ya kati ya 9 hadi 10 wanajua kusoma

Ripoti ya utafiti wa zaidi ya nchi 50 duniani uliofanywa na shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO umeonyesha kuwa watoto wa kike wanaongoza zaidi kuliko wa kiume.

Sauti -

Ni changamoto kupata dawa za kupambana na ukimwi Africa magharibi na kati: UNICEF/UNAIDS

Ripoti iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa matraifa la kuhudumia watoto UNICEF na lile la kupambana na ukimwi UNAIDS inasema  watoto wanne kati ya watano wanaoishi na virusi vya ukimwi au VVU Afrika Magharibi na Kati hawapati dawa za kupunguza makali ya ukimwi,  huku vifo vinavyohusiana na uki

Sauti -

Ni changamoto kupata dawa za kupambana na ukimwi Africa magharibi na kati: UNICEF/UNAIDS

Tutapata habari za kina kuhusu Yemen Kesho: UM

Tutapata habari za kina kuhusu Yemen Kesho: UM

Umoja wa Mataifa umesema unasubiri taarifa za mjumbe wake maalum kwa Yemen kuhusu taarifa zinazodai kuuawa kwa rais wa zamani wa nchi  hiyo Ali Abdullah Salehe.

Sauti -

Makubaliano ya kimataifa kuhusu uhamiaji yasisahau watoto- UNICEF

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF limesema makubaliano ya kimataifa kuhusu uhamiaji duniani, ni lazima yajumuishe watoto waliolazimika kuondoka makwao kutokana na sababu mbalimbali.

Sauti -