Unicef Uganda

Niliona Kijiji chetu kina watu wawili tu waliosoma, nikaingia kwenye migodi kutafuta pesa-Lawrence  

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linaendelea kushirikiana na Serikali ya Uganda, sekta binafsi na washirika wengine kuhamasisha makampuni na wadau wote kuhusu haki za watoto na pia katika shughuli zao za kila siku, kuwa na sera rafiki za watoto. Hiyo ni kutokana na watoto wengi kutumikishwa katika shughuli mbalimbali za kiuchumi badala ya kuwa shuleni kama anavyoeleza mtoto Lawrence katika taarifa hii inayosimuliwa na Anold Kayanda. 

Huduma ya afya kwa watoto magharibi mwa Uganda 'yapigwa jeki'

Baada ya Sweden kupitia shirika lake la misaada ya maendeleo ya kimataifa, SIDA kuitikia wito wa usaidizi wa fedha wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto,

Sauti -
1'12"