UNIC

Tanzania imepiga hatua katika kuhakikisha kila mtoto anaandikishwa shuleni japo changamoto zipo

Stella Vuzo wa UNIC Dar es Salaam anamuhoji Ayubu Kafyulilo mtaalamu katika shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Tanzania

Sauti -
6'37"

02 - 05 - 2019

Nchini Somalia, ukame wa muda mrefu wasababisha janga la kibinadamu kunyemelea nchini humo hususan jimbo la Kusini-Magharibi, huko Yemen wahamiaji kutoka Ethiopia wafia korokoroni na nchini Mali muuguzi mmoja aamua kurejea kaskazini mwa nchi hiyo ili kusaidia kuleta uponyaji kwa wengi walioathiri

Sauti -
11'50"

Mipango miji ni chachu ya maendeleo endelevu:FOS4G 2018

Miji endelevu iliyochagizwa namipango miji ni moja ya vichocheo vya maendeleo endelevu au SDG limesema jukwaa la kimataifa la FOSS4G lililokunja jamvi jumatatu nchini Tanzania, likitoa wito wa kutumia kila binu kuhakikisha lengo la miji endelevu kwa kutumia teknolojia linatimia. 

30 Agosti 2018

Jarida la leo na Flora Nducha limesheni taarifa : WHO yasema  kanda ya Afrika imepiga hatua fulani  ktika sekta ya afya;sanaa ni moja wa mbinu zinaozoweza kut

Sauti -
12'37"

Dkt. Salim azungumzia hatma ya Mashariki ya Kati

Kufuatia mjadala unaoendelea kuhusu hatma ya mji wa Yerusalem huko Mashariki ya Kati na mustakhbali wa suluhu ya mataifa mawili ya Palestin na Israel kwenye ukanda huo, mwanadiplomasia nguli nchini Tanzania Dkt. Salim Ahmed Salim ametaja kile kinachopaswa kuzingatiwa ili amani iwepo.

Sauti -

Dkt. Salim azungumzia hatma ya Mashariki ya Kati