UNHCR

Kampeni ya chanjo kwa watoto wa Rohingya yaanza :UNICEF/WHO

Serikali ya Bangladeshi kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF, shirika la afya duniani WHO na muungano wa chanjo GAVI, leo wamezindua kampeni ya chanjo dhidi ya ugonjwa wa dondakoo na magonjwa mengine yanayozuilika kwa watoto wote wakimbizi wa Rohngya walio na umri

Sauti -

Wapatieni makazi ya kudumu wahamiaji 1,300 Libya- UNHCR

Wapatieni makazi ya kudumu wahamiaji 1,300 Libya- UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, limetoa  wito kwa serikali  zote duniani kutoa hifadhi wa kudumu kwa wahamiaji 1300 walioko katika mzingira magumu nchini  Libya.

Sauti -

CERF yavunja rekodi, wahisani 36 waahidi dola milioni 383 kwa 2018:

Mfuko wa dharura wa Umoja wa Mataifa CERF umevunja rekodi ya mapato kwa mwaka 2017 wakati wahisani walipotoa ahadi zaidi za msaada wa fedha kwa mwaka 2018.

Sauti -

Makubaliano ya utatu ndio muarobaini kwa warohingya kurejea Myanmar- UNHCR

Makubaliano ya utatu ndio muarobaini kwa warohingya kurejea Myanmar- UNHCR

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR limesema limejiandaa kwa ajili ya majadiliano ya kuwezesha wakimbizi wa Rohingya kurejea nyumbani kufuatia makubaliano kati ya Myanmar na Bangladesh tarehe 23 mwezi uliopita.

Sauti -

Nina hisia za kushindwa katika suala la Syria: Egeland

Nina hisia za kushindwa katika suala la Syria: Egeland

Ukosefu wa kufikishwa misaada kwa jamii nyingi zinazoihitaji zaidi Syria na kura ya turufu inayoendelea kuwa kikwazo cha kuwahamisha mamia ya wagonjwa walio katika hali mbaya ni hisia kama ya "kushindwa", amesema leo mshauri mwandamizi wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa.

Sauti -

Hatimaye nuru yaangukia wapemba waliohamia Kenya

Hatimaye nuru yaangukia wapemba waliohamia Kenya

Ukosefu wa taifa ni tatizo linalokumba mamilioni ya watu duniani. Wengi wao wakikosa utaifa kwa misingi ya dini, kabila au eneo walikotoka.

Sauti -