UNHCR

Wakimbizi wa Burundi wapata ajali wakirejea nyumbani

ajali ya mabasi yaliyokuwa yanarejesha nyumbani wakimbizi wa Burundi kutoka Tanzania yapata ajali, kadhaa wapoteza maisha na wengine kujeruhiwa 

Sauti -
1'21"

Wakimbizi wa Burundi wapata ajali Ngara

Idadi kubwa ya wakimbizi wa Burundi wanahofiwa kufariki dunia baada ya mabasi walimokuwa wakisafiria kurejea nyumbani kutoka Tanzania kupata ajali mkoani Kagera, kaskazini-magharibi mwa Tanzania.

Uvuvi wafufua matumaini ya wakimbizi Mediterania:UNHCR

Huko Mediterania, wakimbizi wawili kutoka Mashariki ya kati, Syria na Iraq wamejenga urafiki usiotarajiwa kupitia ndoano ya uvuvi ambayo hawakuwahi kuitumia hata siku moja maishani . Ilikuwaje?

Sauti -
2'38"

29 Machi, 2018

Kutoka Ghana, Mawunyo ambaye ni mlemavu wa ngozi asema jina lake limekuwa na maana kubwa katika maisha yake. Ndoana yaokoa wavuvi wakimbizi huko Mediteranea. Makala inaangazia nuru iliyogusa watoto waliozaliwa na uziwi.

Sauti -
9'56"

Wakimbizi wa Ethiopia wakabiliwa na mtihani Kenya:UNHCR

Maelfu ya wakimbizi wa Ethiopia wanaohifadhiwa nchini Kenya hivi sasa wanakabiliwa na mtihani mkubwa wa kukidhi mahitaji yao ya msingi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi

Sauti -
1'51"

Wakimbizi wa Ethiopia wakabiliwa na mtihani Kenya:UNHCR

Maelfu ya wakimbizi wa Ethiopia wanaohifadhiwa nchini Kenya hivi sasa wanakabiliwa na mtihani mkubwa wa kukidhi mahitaji yao ya msingi kwa mujibu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR.  

Hati ya utambulisho wa stadi kuokoa wakimbizi Ulaya

Mataifa ya Ulaya yameweka mbinu mpya za kuwasaidia wakimbizi katika bara hilo ili waweze kupata fursa ikiwemo ajira.

Hati ya utambulisho wa stadi kuokoa wakimbizi Ulaya

Mataifa ya Ulaya yameweka mbinu mpya za kuwasaidia wakimbizi katika bara hilo ili waweze kupata fursa ikiwemo ajira.

Sauti -
1'4"

28 Machi 2018

Jaridan leo,  Flora Nducha anaanzia Ulaya ambako hati ya utambulisho wa stadi za wakimbizi kuleta nuru. Afrika huko Somalia ukatili wa kingono waleta simanzi kwenye familia.

Sauti -
9'58"