Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amerejelea wito wake wa Jumatatu wa kudumisha amani kwa viongozi wa dunia akitaka kukomeshwa kwa uhasama na kujizuia na ongezeko la mac
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amerejelea wito wake wa Jumatatu wa kudumisha amani kwa viongozi wa dunia akitaka kukomeshwa kwa uhasama na kujizuia na ongezeko la machafuko
Mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq ambaye pia ni mkuu wa mpango wa Umoja wa Mataifa nchini humo UNAMI amelaani vikali mauaji ya raia waliokuwa wakiandamana kwa amani mjini Baghdad mapema leo.
Raia wa Iraq wanaendelea kubeba gharama kubwa ya kutaka sauti zao na madai yao yasikike amesema mwakilishi maalum wa Umoja wa Mataifa na mkuu wa mpango wa Umoja wa Mataifa Iraq UNAMI.
Mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq, Ján Kubiš amelaani shambulio la bomu lilitokea huko Tirkit kaskazini mwa mji mkuu wa Iraq, Baghdad.
Ukatili uliofanywa na waasi wa ISIL Iraq ni wa kutisha na unaweza kuwa ni uhalifu wa vita na uhalifu dhidi ya binadamu, imesema leo ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa.