unama

Mashambulizi Afghanistan hayatokatisha tamaa wapiga kura

Umoja wa Mataifa umesema mashambulizi dhidi ya maeneo yanayohusika na masuala ya uchaguzi nchini Afghanistan yanachukiza.

Tamko hilo linafuatia mfululizo wa maeneo hayo ikiwemo vituo vya kusajili wapiga kura wakati huu ambapo uchaguzi unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Sauti -
1'53"

Mashambulizi yahusianayo na uchaguzi Afghanistan yachukiza-UNAMA

Umoja wa Mataifa umesema mashambulizi dhidi ya maeneo yanayohusika na masuala ya uchaguzi nchini Afghanistan yanachukiza.

12 wauawa katika shambulio Afghanistan, Guterres atuma rambirambi

Msikiti unaotumika pia kusajili wapiga kura nchini Afghanistan washambuliwa.

Shambulio la kigaidi Afghanistan laua 14 na kujeruhi Zaidi ya 30: UNAMA

Watu takribani 14 wameuawa hii leo na wengine wapatao 0 kujeruhiwa katika mashambulio mawili ya kujitoa muhanga mjini Kabul Afghanistan.

Sauti -
1'

30 Aprili 2018

Jaridani leo tunaangazia shambulio la kigaidi Afghanistan lililoua watu 14 na kujeruhi wengine zaidi ya 30. Pia tunamulika habari njema kwa watoto wakimbizi nchini Rwanda, ambao sasa wanawezeshwa kupata elimu kutokana na ushirikiano kati ya shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR na mfuko wa H&M. Tunakuletea pia makala ikiangazia maisha ya jamii ya watu wa asili na jinsi wanavyokabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Sauti -
9'57"

Huu ni ukatili na unachukiza-UNAMA.

Shambulio la kujitolea mhanga katika kituo cha kusajili wapiga kura  katika mji mkuu wa Afghanistan, na kusababisha vivyo vya takriban watu  30 na wengine 50 kujeruhiwa , limelaaniwa na mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini Afghanistan, UNAMA.

Tume ya uchaguzi Afghanistan mnafanya kazi nzuri: UN

Umoja wa Mataifa umepongeza na kukaribisha hatua zilizopigwa na tume huru ya uchaguzi nchini Afghanistan (IEC) kwa kupanga Oktoba 2018 kufanyika uchaguzi wa bunge na madiwani.

Sauti -
1'13"

Tume ya uchaguzi Afghanistan mnafanya kazi nzuri:UN

Umoja wa Mataifa umepongeza na kukaribisha hatua zilizopigwa na tume huru ya uchaguzi nchini Afghanistan (IEC) kwa kupanga Oktoba 2018 kufanyika uchaguzi wa bunge na madiwani.

Mashabulizi dhidi ya raia yakomeshwe mara moja-Yamamoto

Watu takriban 15 wameuawa na wengine 40 wamejeruhiwa katika shambulio nchini Afghanistan.

Wanawake wa Kandahar wataka elimu ipewe kupaumbele

Wanawake wa jimbo la Kandahar nchini Afghanistan wamesema elimu ndio jambo muhimu zaidi wanalohitaji ili kujikwamua.