UN

Idadi ya vifo Mediteranea yavuka 3000- IOM

UM ‘waibana koo’ Myanmar

Serikali ya Myanmar imepewa miezi sita kuwasilisha kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ripoti maalumu ya hali ya wanawake na wasichana wa kabila la Rohingya kutoka jimbo la kaskazini la Rakhine.

Sauti -

UM ‘waibana koo’ Myanmar

Kutoka kulala mitaani hadi kumiliki duka la mikate Costa Rica

Nchini Costa Rica sera ya kuwezesha wakimbizi kufanya kazi imeleta nuru kwa raia wa Colombia waliokimbia machafuko nchini mwao. Flora Nducha na ripoti kamili.

(Taarifa ya Flora Nducha)

Sauti -

Kutoka kulala mitaani hadi kumiliki duka la mikate Costa Rica

WHO yahaha kukabili mlipuko wa dondakoo Yemen

WHO yahaha kukabili mlipuko wa dondakoo Yemen

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limeanza kusambaza dawa ili kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa dondakoo nchini Yemen.

Mwakilishi wa WHO nchini Yemen Dkt, Nevio Zagaria amesema hatua hiyo ni muhimu ili kuondoa aibu itokanayo na watoto kufariki dunia kwa ugonjwa huo wenye chanjo.

Sauti -

WFP yapokea dola milioni moja kutoka China kusaidia wakimbizi Iran

Shirika la mpango wa chakula la Umoja wa Mataifa, WFP limekaribisha  mchango wa dola milioni 1 kutoka China kwa ajili ya  chakula na pia vifaa vya  elimu kwa wasichana wakimbizi  wa Afghanistan na Iraq wanaoishi nchini Iran.

Sauti -

WFP yapokea dola milioni moja kutoka China kusaidia wakimbizi Iran

Umoja wa Mataifa Tanzania wapeleka kampeni ya #ZuiaUkatili huko Kigoma