UN

UN yasema TV bado haijapoteza dira licha ya teknolojia mpya:

Televisheni bado ni chombo muhimu cha mawasiliano duniani liacha ya kuzuka kwa teknolojia mpya ambazo zimechukua nafasi kubwa ya maisha ya watu limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni , UNESCO. 

Sauti -
1'34"

TV bado haijapoteza dira licha ya teknolojia mpya:UN

Televisheni bado ni chombo muhimu cha mawasiliano duniani licha ya kuzuka kwa teknolojia mpya ambazo zimechukua nafasi kubwa ya maisha ya watu, limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu , sayansi na utamaduni, UNESCO. 

Zama za kufumbia macho ukatili wa kingono zimepita- Guterres

Suala la amani na usalama barani Afrika leo tena limepatiwa kipaumbele katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ambapo wajumbe wamejikita zaidi katika kuangazia operesheni za ulinzi wa amani barani humo.

Lazima juhudi zaidi zichukuliwe kunusuru bayo-anuai:UN

Mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu bayo-anuai unaendelea mjini Sharm El-Sheikh nchini Misri kujadili mbinu za kunusuru bayo-anuai ambayo inazidi kutoweka duniani.

UN yahaha machafuko yanaendelea Gaza

Wakati machafuko yakiendelea kushika kasi upya kwenye Ukanda wa Gaza , Umoja wa Mataifa unasema unafuatilia haki kwa karibu huku mratibu maalumu wa Umoja wa Mataifa kwenye ukanda huo Nickolay Mladenov akishirikiana na pande zote kujaribu kurejesha utulivu.

Sauti -
7'32"

Mara nyingi haki za watu wengi hubinywa kutokana na sababu kama vile, vita, mfumo wa utawala na hata mgawanyiko katika jamii.

Tamko la haki za binadamu la Umoja wa Mataifa Ibara ya 6 inasema kila mtu anayo haki, binafsi au kwa ushirikiano na wengine, kuanzisha na kujadili dhana na kanuni mpya za haki za binadamu na kuzitetea ili zikubalike.” Lakini mara nyingi watu hawapati fursa ya kufanya hi

Sauti -
4'31"

Hali ya kibinadamu Batangafo, CAR si shwari

Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati, CAR, umelaani janga la kibinadamu linaloendelea kwenye eneo la Batangafo mkoani Ouham kaskazini-maghaibi mwa nchi hiyo.

Vitisho vya Burundi dhidi ya tume ya uchunguzi ya UN havistahili na vifutwe:Bachelet

"Taarifa ya jana ya Balozi wa Burundi kwenye Umoja wa Mataifa Albert Shingiro kushambulia ripoti ya tume huru ya kimataifa ya Uchunguzi iliyoanzishwa na Baraza la Haki za binadamu la Umoja wa Mataifa inasikitisha na kwa mada na sauti iliyotumika."

Siku ya UN, Guterres asema changamoto ni nyingi "lakini katu hatukati tamaa"

Leo ni siku ya Umoja wa Mataifa ikiwa ni maadhimisho yanayolenga kusherehekea kuanza kutumika kwa katiba ya chombo hicho tarehe 24 Oktoba mwaka 1945.

UN na AU wajadili utekelezaji wa NEPAD

UN na AU wajadili utekelezaji wa NEPAD

Sauti -
1'43"