UN

Ugaidi unasalia kuwa tishio kubwa duniani, mshimakamano ni dawa mujarabu: INTERPOL

Ugaidi unasalia kuwa tishio kubwa la maisha ya watu na miundombinu duniani na Umoja wa Mataifa mjini New York unalitambua hilo ndio maana juma hili umeitisha mkutano wa ngazi ya juu uliotoa kipaumbele kwa suala hili.

UN yataka ulinzi kwa wapalestina

Wanachama wa Umoja wa Mataifa wamepitisha azimio la kutaka ulinzi kwa raia wa Palestina.

Wajumbe wa Baraza Kuu la umoja huo wamepitisha azimio hilo kwa kura 120 huku kura 8 zikisema hapana na wajumbe 45 hawakupiga kura.

Sauti -
2'57"

UN yataka ulinzi kwa wapalestina

Wanachama wa Umoja wa Mataifa wamepitisha azimio la kutaka ulinzi kwa raia wa Palestina.

DPRK achia huru wafungwa wa kisiasa kabla ya mkutano na Marekani-UN

Kuelekea mkutano wa viongozi wa Marekani na Korea Kaskazini nchini Singapore, UN yapaza sauti ili mazungumzo hayo yawe na manufaa zaidi.

Baiskeli yatambuliwa katika kuchagiza SDGs

Kwa mara ya kwanza siku ya baiskeli imeadhimishwa hii leo na lengo ni kuchagiza maendeleo endelevu.

Walinda amani waliopoteza maisha asilani hawatosahaulika

Walinda amani wa Umoja wa Maytaifa waliopoteza maisha wakihudumu kuokoa maisha ya wengine , asilani mchango wao hautosahaulika amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa antonio Guterres akiwaenzi walinda amani hao na operesheni za Umoja wa Mataifa ambazo mwaka huu ni miaka 70 tangu zianze.

Sauti -
2'21"