UN. WHO

Katika juhudi za kufikisha taarifa sahihi WHO na Facebook waungana

Shirika la afya ulimwenguni, WHO limeingia ubia na kampuni ya Facebook ili kusaidia kusambaza taarifa sahihi kuhusu chanjo.

Sauti -
2'6"

Magonjwa yasiyo ya kuambukiza huchochewa na ukosefu wa mazoezi

Mkutano wa tatu wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu magonjwa yasiyo ya kuambukiza umefanyika leo jijini New  York, Marekani ambapo washiriki wakiwemo viongozi wa nchi na wakuu wa serikali wamepitisha azimio la kisiasa la kuzuia na kudhibiti kuenea kwa magonjwa yasiyo ya kuamb

Sauti -
1'51"