Umoja wa Mataifa

Watu wanafikiri Umoja wa Mataifa ni shirika moja tu-Balozi Manongi

Jumapili hii ulimwengu unaadhimisha siku ya Umoja wa Mataifa ambayo mwaka huu inabeba kilele cha maadhimisho ya Umoja huo kutimiza miaka 75 tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1945.
Sauti -
3'36"

Asante UNIC Dar es Salaam kunipa fursa ya kukuza maarifa yangu-Hilda Amedhastone Phoya

Je una ndoto za siku moja kufanya kazi na Umoja wa Mataifa?

Sauti -
3'39"