Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Chuja:

Umoja wa Mataifa

Wananchi wa Sudan Kusini washerehekea tamasha la utamaduni la amani katika mji wa Aweil.
UNMISS

Tamasha la utamaduni wa amani layaleta pamoja makabila ya Sudan Kusini

Mwanzoni mwa mwezi huu wa April dunia iliadhimisha Siku ya Kimataifa ya michezo kwa maendeo na amani, nchini Sudan Kusini kwa siku mbili mfululizo maelfu ya wananchi wa walikusanyika kusherehekea tamasha la utamaduni la amani lililoandaliwa na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS kwa kushirikiana na Wizara ya Utamaduni ya jimbo la Kaskazini la Bahr El Ghazal.

Sauti
4'27"
Bintou Keita(kushoto) akihutubia waandishi habari Goma tarehe 4 machi 2023.
UN News/Byobe Malenga.

Ni wakati wa makundi yenye silaha DRC kukuweka chini silaha zao: Keita

Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC Bintou Keita amesema kwamba mpango wa Umoja wa Mataifa nchini huomo MONUSCO unasisitiza wito wa Antonio Guterres, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa makundi yenye silaha yanayoendesha operesheni zao DRC kuweka chini silaha zao mara moja pasi na masharti yoyote.

Sauti
2'46"

18 JANUARI 2023

Hii leo jaridani tunakupeleka Davos Uswisi kusikiliza hotuba ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa na pia kuangazia tuzo ya mwaka 2023 iitwayo Crystal Award. Makala na mashinani tunasalía huko huko, kulikoni?

Sauti
11'42"

22 Oktoba 2021

Leo kama ilivyo ada ya Ijumaa tunakuletea mada kwa kina tukimulika siku ya Umoja wa Mataifa inayoadhimishwa tarehe 24 mwezi huu wa Oktoba.

Pia tutakuletea taarifa ya Habari ambapo utasikia kikosi cha walinda amani wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania kimeshambuliwa huko DRC na ujumbe wa Katibu Mkuu wa UN Antonio Guterres kwa ulimwengu katika kuadimisha siku ya Umoja wa Mataifa.

Kipengele cha kujifunza kiswahili hii leo ni kutoka kwa mchambuzi kutoka Kenya akifafanua maana ya methali, "Ulivyoligema utalinywa" msemo "

Sauti
14'4"