Umoja wa Matafa

NENO LA WIKI- MKAJA

Hii leo katika kujifunza kiswahili kupitia Umoja wa Mataifa, Katibu Mtendaji wa Baraza la Kiswahili, la ZANZIBAR, BAKIZA, Dkt.MWanahija Ali Juma anafafanua maana ya neno "MKAFA"

Sauti -

Saidieni kupambana na uharibifu wa mazingira: Guterres

Saidieni kupambana na uharibifu wa mazingira: Guterres

Tuna haki ya kuishi sehemu salama, tunategemea kula chakula bora, maji safi na kuvuta hewa safi lakini bado tunaendelea kuharibu mazingira.

Sauti -