Ummy Mwalimu

COVID-19 Tanzania : Wagonjwa wafikia 3, Vyuo Vikuu vyafungwa, mgonjwa wa kwanza azungumza.

Nchini Tanzania idadi ya wagonjwa wa Corona au COVID-19 imefikia 3 baada ya wagonjwa wapya wawili kuthibitishwa hii leo wakiwa ni raia wa Marekani na Ujerumani. 

Wanawake viongozi Tanzania ni viongozi bora:Waziri Ummy

Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika harakati za ukombozi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali iikiwemo kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Flora Nducha na tarifa zaidi

Sauti -
1'46"

02 Julai 2019

Hii leo jaridani Grace Kaneiya anaanzia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako shirika la mpango wa chakula duniani, WFP

Sauti -
10'57"

Tunachokipigania Tanzania sio idadi tu bali pia ubora wa wanawake viongozi: Ummy Mwalimu

Serikali ya Tanzania imepiga hatua kubwa katika harakati za ukombozi wa mwanamke katika nyanja mbalimbali iikiwemo kijamii, kiuchumi na hata kisiasa. Flora Nducha na tarifa zaidi

18 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anamulika 

-Mchango wa wanawake katika amani ya kudumu Kenya

-Upokonywaji wa rasilimali za Palestina unaofanywa na Israel ni ukiukwaji wa haki za binadamu yasema UN

Sauti -
12'55"

"Tunaushukuru Umoja wa Mataifa kwa kujadili moja ya matatizo yetu makubwa": Tanzania

Mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 73 unaendelea  mjini New York Marekani na leo , unajikita katika afya hususan  jinsi ya kupambana na ugonjwa wa kifua  au TB kikuu kote duniani.

Tanzania yagawa mashine za kisasa za kupima TB kwa hospitali binafsi

Kuelekea siku ya kimataifa ya kupambana na ugonjwa wa Kifua Kikuu, TB duniani hapo kesho, Tanzania imesema imeongeza idadi ya mashine za kisasa za kupima makohozi ya wahisiwa wa TB kutoka 66 mwaka 2015 hadi 186 mwezi huu wa Machi. Selina Jerobon na maelezo zaidi.

Sauti -
1'37"

Shaka yaondoka kwa watoto wenye TB Tanzania

Sasa kila nchi inajizatiti kuondokana na ugonjwa wa Kifua Kikuu au TB ambao husababisha vifo vya watu 4500 kila siku kote duniani. Umoja wa Mataifa unasaka viongozi katika kila ngazi kuchukua hatua, nchini Tanzania serikali nayo imeonyesha njia ikiwemo kuimarisha ubia kati ya sekta ya umma na ile ya binafsi kwenye ugunduzi na upimaji wa TB.