ukimwi

Maambukizi mapya ya UKIMWI yapungua lakini kasi ni ndogo

Maambukizi mapya duniani ya UKIMWI yamepungua kwa asilimia 18 tu katika kipindi cha miaka saba kutoka  watu milioni2.2 mwaka 2010 hadi milioni 1.8 mwaka 2017.

Sauti -
1'37"

Kasi ya kudhibiti UKIMWI imepungua- UNAIDS

Kanda zote ziko nyuma katika kudhibiti kuenea kwa Ukimwi na mafanikio makubwa tuliyopata kwa watoto hayahifadhiwi huku wanawake ndio wanaoathirika zaidi, amesema Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia UKIMWI-UNAIDS, Michel Sidibe, wakati wa uzinduzi wa   ripoti mpya ya hali ya UKIMWI duniani hii leo.

Australia yasaidia harakati za UNAIDS huko Asia-Pasifiki

Mpango wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na UKIMWI -UNAIDS, umekaribisha mchango wa  nyongeza wa zaidi ya dola 977,000 kwa ajili ya harakati zake za kupambana na ugonjwa huo.

UNAIDS yashuhudia jinsi ufalme wa Bunyoro unavyokabiliana na UKIMWI

Ufalme wa Bunyoro umepiga hatua kubwa katika vita dhidi ya ukimwi , lakini pia umejinyakulia sifa kemkem kutoka kwa mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS, Bwana Michel Sidibe ambaye yuko ziarani nchini Uganda, kwa kudumisha utu wa kuwapokea wakimbizi lukuki wengi kutoka Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC.

Sauti -
1'44"

Alihesabiwa siku za kuishi lakini akaishi zaidi

Umoja wa Mataifa unaendelea kupigia chepuo usambazaji wa huduma za kujikinga na virusi vya ukimwi, VVU ikiwa ni moja ya utekelezaji wa lengo namba 3 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs.

Ni changamoto kupata dawa za kupambana na ukimwi Africa magharibi na kati: UNICEF/UNAIDS

Ripoti iliyotolewa leo na shirika la Umoja wa matraifa la kuhudumia watoto UNICEF na lile la kupambana na ukimwi UNAIDS inasema  watoto wanne kati

Sauti -

Ni changamoto kupata dawa za kupambana na ukimwi Africa magharibi na kati: UNICEF/UNAIDS

Bila huduma dhidi ya VVU ningalikuwa mfu hivi sasa- Mpho

Ikiwa leo ni siku ya Ukimwi duniani, ripoti mpya ya shirika la Umoja wa Mataifa linaloongoza harakati dhidi ya Ukimwi, UNAIDS imeonyesha kuwa wanaume ni wagumu zaidi kukubali kupima Virusi Vya Ukimwi, kuliko wanawake. Flora Nducha na ripoti kamili.

Sauti -

Bila huduma dhidi ya VVU ningalikuwa mfu hivi sasa- Mpho