Ripoti mpya kuhusu hali ya ukimwi duniani imetoa matumaini baada ya kubainika kuwa asilimia 75 ya watu wanaoishi na Virusi Vya Ukimwi, VVU wanatambua hali zao.
Hadi sasa hakuna tiba dhidi ya Ukimwi na wagonjwa nchini Zimbabwe wanaotumia dawa za kupunguza makali ya virusi vinavyosababisha ugonjwa huo, VVU waendelee kuzitumia.
Mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 73 unaendelea mjini New York Marekani na leo , unajikita katika afya hususan jinsi ya kupambana na ugonjwa wa kifua kikuu au TB kikuu kote duniani.
Mjadala wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kikao cha 73 unaendelea mjini New York Marekani na leo , unajikita katika afya hususan jinsi ya kupambana na ugonjwa wa kifua au TB kikuu kote duniani.
Mahakama kuu nchini India imetengua baadhi ya vifungu katika sheria za makossa ya jinai nchini humo hususan kifungu namba 377 kinachoharamisha kundi la watu wanaofanya mapenzi ya jinsia moja, LGBTI. Uamuzi huo umepongezwa na taasisi mbalimbali za Umoja wa Mataifa.
Ingawa hatua kubwa zilizopigwa katika kuwatibu watu wanaoishi na virusi vya ukimwi au VVU zimewawezesha kufanya kazi , lakini wanaendelea kubaguliwa kazini umesema utafiti mpya uliozinduliwa leo na shirika la Umoja wa Mataifa la kazi duniani ILO.
Maafisa 23 wa jeshi la polisi la Sudan Kusini wanaohudumu kwenye mpango wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini humo cha UNMISS wamekutana kwa ajili ya mafunzo maalumu ya kuwalinda watoto katika sehemu za migogoro.
Kongamano la 22 la kimataifa kuhusu ukiwmi limefunguliwa rasmi hii leo mjini Amsterdam Uholanzi likihimiza jitihada za kukabiliana na maambukizi mapya hususan kwa vijana barubaru.
Ushahidi zaidi kutoka Cameroon, , Côte d’Ivoire, na Afrika Kusini umezidi kudhihirisha mwelekeo sahihi wa dunia katika kukabiliana na Ukimwi ifikapo mwaka 2020.