ukimbizi

Ukarimu wa Rwanda wafanya mkimbizi asahau kama ni mkimbizi

Nchini Rwanda ukarimu na fursa wanazopata wakimbizi vimesababisha wakimbizi hao wajisikie nyumbani na hata kusahau kuwa wao wenyewe ni wakimbizi.

Msanii mzaliwa wa Zanzibar ashinda tuzo ya Sanaa ya Turner:IOM

Msanii mzaliwa wa Zanzibar ashinda tuzo ya Sanaa ya Turner:IOM

Msanii wa Uingereza Lubaina Himidi ametambulika kimataifa juma hili baada ya kazi yake ya saana inayotanabaisha siasa za kibaguzi na mchango wake katika masuala ya kumbukumbu ya utumwa  na uhamiaji kushinda tuzo ya mwaka huu ya Turner ambayo ni tuzo ya kimataifa ya sana aza kuchora.

Sauti -