Ukatili

Katu sitaki kurejea DRC, naogopa vita- Kijana mkimbizi

Mchango wa vijana katika masuala mbalimbali ni dhahiri ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu.

Sauti -
3'10"

Ukatili na usafirishaji haramu wa binadamu wafurutu ada Somalia: IOM

Ukatili wa kijinsia na usafirishaji haramu wa binadamu vimekuwa donda ndugu nchini Somalia, sasa shirika la Umoja wa Mataifa la uhamiaji IOM lmeamua kuvalia njuga changamoto hizo. 

Sauti -
2'26"

Hofu yaongezeka kwa wanawake na watoto wanaokimbia Cameroon:UNHCR

Wakati idadi ya watu wanaokimbia eneo linalozungumza kiingereza nchini Cameroon na kuingia Nigeria ikiongezeka, Shirika la Umoja wa Mataifa la luhudumia wakimbizi

Sauti -

Hofu yaongezeka kwa wanawake na watoto wanaokimbia Cameroon:UNHCR

Kuwezesha mwanamke bila kuelimisha mwanaume ni bure- UNWomen

Siku 16 za kupinga ukatili dhidi ya wanawake zikiendelea kupigiwa chepuo kila kona ulimwenguni, imeelezwa kuwa kumwezesha mwanamke bila kumuelimisha mwanaume hakuna tija yoyote. Selina Jerobon na maelezo zaidi.

(Taarifa ya Selina Jerobon)

Sauti -

Kuwezesha mwanamke bila kuelimisha mwanaume ni bure- UNWomen