Ukatili

Penye nia pana njia na nia yangu ni kumwamua msichana wa Kisamburu:Lerosion

Mila na desturi katika jamii ya Wasamburu nchi Kenya bado zinamwacha nyuma mtoto wa kike hasa katika masuala ya elimu na kudumisha mila zingine potofu ikiwemo ukeketaji.

Sauti -
3'15"

Kila msumari utumikao kwenye ujenzi ni kiashiria cha kufunika jeneza la ukatili dhidi ya mtoto Sudan Kusini- UNMISS

Jeshi nchini Sudan Kusini, SSPDF, limechukua hatua madhubuti kuhakikisha ulinzi wa mtoto kwa kujenga ofisi maalum la ulinzi wa watoto ambao kila uchao hukumbwa na madhila ikiwemo ukatili wa kingono na utumikishwaji jeshini.

Uonevu dhidi ya watoto mtandaoni lazima ukome:UNICEF

Uonevu na ukatili dhidi ya watoto mtandaoni umefurutu ada ni ni lazima ukome limesema shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF katik

Sauti -
2'29"