Ukatili wa kingono

23 Aprili 2019

Katika Jarida la Habari hii leo arnold Kayanda anakuletea

- Wito umetolewa na mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel Dkt. Denis  Mukwege, kuwasaidia  wanawake wanaobakwa na watoto wao wasio na utaifa katika maeneo ya vita

Sauti -
12'2"

Chonde chonde saidieni wanawake wanaobakwa na msisahau watoto wao wasio na utaifa- Dkt. Mukwege

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo lina mjadala wa wazi kuhusu ukatili wa ngono kwenye mizozo ikiwa ni miaka 10 tangu kupitishwa kwa azimio namba 1888 lililoanzisha wadhifa wa mwakilishi maalum wa Katibu Mkuu kuhusu vitendo hivyo.