Katika kuangazia harakati za kukabili ukatili dhidi ya wanawake, tunakwenda nchini India ambako harakati za mfuko wa maendeleo wa Umoja wa Mataifa, IFAD, umesaidia wakazi wa eneo la Maharashtra kuondokana na tabia ykutaka wajawazito kutoa mimba za watoto wa kike.