ukatili dhidi ya wanawake

Harakati za kuzuia kusambaa kwa COVID-19 huenda zikawaweka wanawake hatarini ya ukatili -UN Women

Wakati janga la ugonjwa wa virusi vya Corona, au COVID-19 likiendelea kutikisa duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia masuala ya wanawake, UN Women linashirikiana na wadau wake

Sauti -
2'24"

TAMWA imesaidia katika kubadili sheria zinazomkandamiza mwanamke Zanzibar

Wakati tulipoanzisha chama cha wandishi wa habari wanawake, TAMWA visiwani Zanzibar nchini Tanzania kulikuwa na matukio mengi ya ukatili wa wanawake ambapo vyombo vya habari wakati huo havikuripoti na mbaya zaidi mtazamo wa jamii ukimwelekezea mwanamke lawama.

Sauti -
5'53"

TAMWA imesaidia katika kubadili sheria zinazomkandamiza mwanamke Zanzibar- Bi. Issa 

Wakati tulipoanzisha chama cha wandishi wa habari wanawake, TAMWA visiwani Zanzibar nchini Tanzania kulikuwa na matukio mengi ya ukatili wa wanawake ambapo vyombo vya habari wakati huo havikuripoti na mbaya zaidi mtazamo wa jamii ukimwelekezea mwanamke lawama.

26 DESEMBA 2019

Katika Jarida la Habari za Umoja wa Mataifa hii leo Grace Kaneiya anakuletea

Sauti -
11'30"

Ukatili dhidi ya mwanamke  mwenye ulemavu wamulikwa Uganda

Wanawake wenye ulemavu huwa wanakabiliwa na changamoto za kipekee wakilinganishwa na wanaume wenye hali kama hiyo.

Sauti -
3'40"

Wanawake Kenya wana mchango mkubwa Kenya katika amani ya kudumu:CSW63

Kenya wamechukua jukumu la kuchagiza amani na kuanzisha kikundi cha kusongesha harakati za kuleta amani kwa jina la Embrace uchagizaji unaofanywa na wanawake. Mmoja wa wanawake wanaoshiriki harakati hizo ni, Bi Ida Odinga ambaye ni mwenyekiti wa kundi hilo la Embrace

Sauti -
2'39"

Mchango wa wanawake katika amani ya kudumu Kenya ni dhahiri-Embrace

Mkutano wa 63 wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW63 umeingia siku ya sita hii leo Jumatatu kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York, Marekani ambako kunafanyika mikutano kando ikiratibiwa na nchi wanachama ili kuonyesha kwa kina kile inachofanya mashinani kumnasua mwanamke.

Watakaohusishwa na unyanyasaji wa kingono hawana kazi UNHCR

Pamoja na jitihada za kupiga vita unyanyasaji wa kingono na ukatili, dhidi ya waathirika wa kivita katika maeneo ya migogoro  duniani, shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi,

Sauti -
1'28"

Maelfu ya watoto wazidi kutoweka DRC

Maelfu ya watoto wametoweka kusikojulikana katika jimbo la Tanganyika nchini Jamuri ya kidemokrasia ya Congo DRC, na mama zao wamejotokeza na kupaza sauti wakitaka watoto wao warudishwe.

Ukatili dhidi ya wanawake ni adui ya SDGs

Wanawake na wasichana, popote pale wanahitaji kuwa na haki na fursa sawa na pia wawe huru kuishi katika mazingira yasiokuwa na ukatili wala ubaguzi.

Sauti -
3'32"