Ukame, mafuriko na vita katika nchi ambazo tayari zimeathirika na migogoro vinatishia kuwaweka mamilioni ya watu katika hatari ya baa la njaa kwa mujibu w shirika la Umoja wa Mataifa lachakula na kilimo,
Ukame, mafuriko na vita katika nchi ambazo tayari zimeathirika na migogoro vinatishia kuwaweka mamilioni ya watu katika hatari ya baa la njaa kwa mujibu w shirika la Umoja wa Mataifa lachakula na kilimo, FAO.
Kuchukua tahadhari za mapema katika nchi zinazotabiriwa kukumbwa na majanga ya asili kunaweza kuzuia tishio la kutokea zahma ya kibinadamu au kunaweza kudhibiti athari kwa mujibu wa ripoti mpya iliyotolewa leo na shirika la chakula na kilimo duniani , FAO.
Tatizo la tabianchi ni suala mtambuka, ambalo Umoja wa Mataifa na washirika wake wamekuwa wakilivalia njuga kuhamasisha serikali mbalimbali na asasi za kiraia kuhusu ushiriki wa kila mtu katika ulinzi wa mazingira.
Ripoti kutoka shirika la chakula na kilimo duniani FAO, imesema ongezeko la joto na ukosefu wa nvua kusini mwa bara la Afrika vitaathiri sana sekta ya kilimo mwaka huu, na kufanya usalishajji wa mazao kupungua kwa kiasi kikubwa.