UGANDA

Uganda yajihadhari kabla ya shari ya COVID-19

Serikali ya Uganda imechukua hatua ya kufunga shule zote, masoko na mijumuiko yote ya umma kama mojawapo ya njia za kuzuia kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19 kwenye nchi hiyo ambayo yeny

Sauti -
2'24"

19 MACHI 2020

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'32"

Uganda yafunga shule zote kuzuia hatari ya COVID-19

Serikali ya Uganda imechukua hatua ya kufunga shule zote, masoko na mijumuiko yote ya umma kama mojawapo ya njia za kuzuia kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19 kwenye nchi hiyo ambayo yenyewe hadi sasa haina mgonjwa hata mmoja lakini imezungukwa na nchi mlimothibitishwa mlipuko wa virusi hivyo. 

Mwanamke mwenye ulemavu wa kuona aeleza madhila vitani, DRC-Sehemu ya 1 

Wanawake hukumbana na madhila mengi duniani huku wakihitaji kuungana mkono wao kwa wao ili kihimili madhila haya ambayo hua pamoja na ubakaji, kuporwa mali na kutumikishwa kingono na ndoa za ntotoni na kwa lazima.

Sauti -
3'53"

13 Machi 2020

Nchini Kenya kufuatia kuthibitishwa kwa mgonjwa wa kwanza wa virusi vya Corona, COVID-19, shirika la afya ulimwenguni

Sauti -
9'40"

Wakunga wapaza sauti kuhusu changamoto kazini

Wakunga na wauguzi huwa msitari wa mbele kwenye shughuli nyingi za kitabibu na hivyo huchangia sehemu muhimu ya huduma za afya.

Lakini licha ya hayo mara nyingi hulaumiwa na umma wakidai wanazembea kuwahudumia sanjari na matarajio.

Sauti -
3'42"

Wauguzi waleta nuru katika kinga dhidi ya magonjwa, Uganda

Wakunga na wauguzi ni muhimu sana katika masuala ya uhamasishaji kuhusu masuala ya afya na hatimaye kuimarisha kinga badala ya kuponya.

Sauti -
3'35"

Pesa ni muhimu, lakini kwangu mimi, muhimu zaidi ni afya ya mtu- Francis Maina

Kijana Francis Maina ni mwanafunzi wa Chuo cha uuguzi cha St. Regina kilichoko maeneo ya magharibi mwa nchi ya Uganda.

Sauti -
3'33"

12 FEBRUARI 2020

Katika Jarida la Habari hii leo anold Kayanda kutoka Umoja wa Mataifa anakuletea

Sauti -
11'36"

Mradi wa UNICEF wa mafunzo kwa waendesha boda boda ni nuru kwa wanawake wajawazito Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF kwa kushirikiana na taasisi ya Sweden kwa ajili ya maendeleo ya kimataifa imeanzisha mfumo wa usafiri wa boda boda kwa ajili ya kusafirisha wanawake na watoto hadi kwenye vituo vya afya.