UGANDA

Wakimbizi raia wa DRC zaidi ya 3,000 wamewasili Uganda ndani ya siku tatu

Zaidi ya wakimbizi 3,000 raia wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC wamewasili Uganda kati ya Alhamis na Ijumaa ya wiki iliyopita yaani Julai 1-3 wakati wa kufunguliwa kwa muda kwa vituo viwili vya mipakani, Galajo na Mlima Zeu, kaskazini magharibi mwa Uganda, limeeleza hii leo mjini Geneva Uswisi, shirika la Umoja wa Mataifa la kushughulikia wakimbizi, UNHCR. 

Uganda yafungua mpaka kwa muda kuruhusu wakimbizi kutoka licha ya COVID-19

Hatimaye Uganda imeruhusu raia wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC waliokimbia mapigano nchini mwao wapatiwe hifadhi baada ya kushindwa kuingia nchini humo tangu mwezi Mei mwaka huu kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Sauti -
2'42"

Licha ya COVID-19, Uganda yafungua mpaka kwa muda kuruhusu wakimbizi kutoka DRC

Hatimaye Uganda imeruhusu raia wa Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC waliokimbia mapigano nchini mwao wapatiwe hifadhi baada ya kushindwa kuingia nchini humo tangu mwezi Mei mwaka huu kutokana na janga la ugonjwa wa virusi vya Corona au COVID-19.

Mwalimu aeleza changamoto za kiuchumi na kijamii kutokana na COVID-19, Uganda

Elimu bora kwa wote ni miongoni mwa malengo ya maendeleo endelevu au SDGs, lengo ambalo limeingia mashakani kutokana na mlipuko wa COVID-19 kwani serikali nyingi zimelazimika kufunga taasisi z

Sauti -
3'14"

Tumaini katika biashara ya mkimbizi kati ya changamoto za COVID-19, Uganda

Licha ya changamoto za biashara kudorora kutokana na vikwazo vya kudhibiti kuenea kwa virusi vya corona au COVID-19, wanawake wakimbizi nchini Uganda wanajitahidi kuendelea kujikimu wakiwa na

Sauti -
3'27"

24 JUNI 2020

Katika Jarida la Umoja wa Matafa hii leo Flora Nducha anakuletea

Sauti -
12'43"

Wanawake wapatanishi wa amani wako mstari wa mbele wa kuzuia COVID-19 katika makazi ya wakimbizi nchini Uganda

Ni saa tatu asubuhi jua limeshaanza kutoa miale yake katika makazi ya wakimbiziya Bidibidi katika Wilaya ya Yumbe nchini Uganda. Wanawake wamekusanyikakaribu na kisima cha maji ili kuchota maji ya asubuhi halafu watarudi tena papa hapa jioni.

COVID-19 yaibua changamoto za makazi Uganda

Juhudi za kupambana na COVID-19 zimeibua changamoto mbalimbali na kuathiri vibaya maisha ya watu kiuchumi na kijamii kote duniani.

Sauti -
3'24"

Vichocheo vya mafuriko na atahri zake vyamulikwa nchini Uganda

Juu ya janga la kimataifa la COVID-19, nchi kadhaa Africa Mashariki na Pembe mwa Africa zinakumbana na janga la mafuriko ambalo tayari limewalazimisha wengi kupoteza makazi na hata maisha yao.

Sauti -
3'25"

08 JUNI 2020

Jaridani la Umoja wa Mataifa hii leo Ikiwa ni siku ya bahari duniani 
Sauti -
12'4"