UGANDA

Tume ya haki za binadamu imeanza ziara Sudan Kusini, Uganda, Kenya na Ethiopia

Wajumbe wa tume ya haki za binadamu ya Umoja wa Mataifa kwa  ajili ya Sudan Kusini leo wameanza ziara ya siku kumi katika nchi nne za Afrika ambazo ni Sudan Kusini, Uganda, Kenya na Ethiopia.

Ukiukumbatia ukimbizi waweza kukufungulia malango mpya:jenipher

Hali ya kuwa mkimbizi kwa sababu yoyote ile ni changamoto kubwa hasa kwa kutojua mustakabali wako na endapo ulikoikimbia kutatengamaa.

Sauti -
2'11"

15 Agosti 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea 

Sauti -
11'58"

Ukimbizi waweza kuwa baraka kwako na kwa wengine:Mkimbizi Jenipher 

Hali ya kuwa mkimbizi kwa sababu yoyote ile ni changamoto kubwa hasa kwa kutojua mustakabali wako na endapo ulikoikimbia kutatengamaa. Mkimbizi Jenipher Mutamba toka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC ambaye sasa anaishi kwenye makazi ya wakimbizi ya Oruchinga nchini Uganda anasema wakati mwingine ukimbizi hufungua mlango wa baraka katika maisha. John Kibego na taarifa zaidi

Mkuu mpya wa UNAIDS ni Winnie Byanyima kutoka Uganda

Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres leo amemteua  Winifred ‘Winnie’ Karagwa Byanyima wa Uganda kuwa ndiye mkurugenzi mtendaji mpya wa shirika la umoja wa Mataifa linalohusika na masuala ya ukimwi, UNAIDS.

Mradi wa UN-Habitat wahakikishia wana kijiji umiliki wa ardhi kwa vizazi vijavyo Uganda

Uganda ni moja ya nchi zilizo na idadi kubwa ya watu na idadi hiyo inaongezeka kila uchao.

Sauti -
2'13"

Mradi wa UN-Habitat wa kupima ramani ya ardhi ni habari njema kwa wakazi vijijini Uganda

Uganda ni moja ya nchi zilizo na idadi kubwa ya watu na idadi hiyo inaongezeka kila uchao. Kwa sasa nchi hiyo ina takriban watu milioni 40 na zaidi ya asilimia 75 wanaishi vijijini na asilimia 80 ya watu hao wako katika mashamba ya kurithi ambayo mengi hazijaandikishwa, kupimwa  wala kuingizwa katika ramani.

14 Agosti 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Assumpta Massoi anakuletea

Sauti -
12'20"

Mwanamke avunja vikwazo vya kitamaduni kujikimu katika uvuvi, Uganda

Wanawake huwa ni nguzo muhimu katika mchakato wa maendeleo ya jamii ingawa jambo hili bado halijatambuliwa katika jamii nyingi barani Afrika kutokana na vikwazo vya kitamaduni na fikra potofu. Hata hivyo kuna nuru katika baadhi ya maenneo ambako wanawake wameanza kutoa ushuhuda kuwashawishi wenza

Sauti -
4'4"

Fursa ya nishati mbadala yapatikana kutokana  na changamoto ya magugumaji, Uganda.

Magugumaji ni changamoto inayozikabili mamlaka ya usimamizi wa rasilimali za majini yakiathiri mifumo ya maji na mazingira kwa ujumla ambayo ni msingi wa uhai na maendeleo.  

Sauti -
3'54"