UGANDA

Mradi wa UNIDO waleta nuru kwa wakulima wa ndizi Uganda

Shirika la Umoja wa Mataifa la maendeleo ya viwanda UNIDO linasaidia jamii zilizoko hatarini magharibi mwa Uganda kuweza kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kutoa fursa zaidi ili kuweza kupata kipato, kupunguza umaskini na kuhakikisha uhakika wa chakula kwa kutumia mbinu za kuboresha zao la ndizi.

Athari za mabadiliko ya tabianchi hazina mipaka- mkaazi Bunyoro-Uganda

Lengo namba 13 la malengo ya maendeleo endelevu, SDGs linachagiza mataifa kuchukua hatua za haraka ambazo zinaweza kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Lengo hilo limeorodhesha malengo madogo ambayo yatasaidia katika kufanikisha SDG 13 ifikapo mwaka 2030.

Sauti -
3'41"

CIAT na utafiti wa maharage nchini Uganda

Katika kurejelea baadhi ya habari zilizokuwa na mvuto zaidi mwaka uliopita wa 2018, tunarejea nchini Uganda hususan kwenye kituo cha kimataifa cha utafiti wa kilimo kwa nchi za kitropoki, CIAT ambako tulizungumza na Robin Buruchara, mtafiti wa maharagwe katika kituo hicho.

Sauti -
4'10"

Elimu ya ufundi, suluhisho la ukosefu wa ajira nchini Uganda.

Ukosefu wa ajira bado ni moja ya changamoto kubwa ulimwenguni kote hususan miongoni mwa vijana wanaohitimu masomo ambayo kwa kiasi kikubwa yamewaelekeza katika kazi za kuajiriwa.

Sauti -
3'40"

02 Januari 2019

Heri ya mwaka mpya na leo jaridani tunaanzia huko Nigeria ambako kumeripotiwa wimbi jipya la wakimbizi wa ndani kaskazini-mashariki mwa nchi hiyo hususan jimboni Borno. Tunamulika pia huduma za tiba zinazotolewa na walinda amani wa Umoja wa Mataifa nchini Mali na kuleta faraja kwa wananchi.

Sauti -
11'45"