Ugonjwa wa Corona au COVID-19 ulizua zahma kubwa duniani ulipoibuka mwaka jana na kuleta sintofahamu. Hali hiyo bado haijaisha hadi sasa ambapo ni mwaka mmoja umeshapita na watu zaidi ya milioni 128 wameugua duniani kote hadi sasa na kati yao hao zaidi ya milioni 2.8 wamefariki dunia.
Lengo namba 5 la Malengo ya Umoja w mataifa ya maendeleo endelevu linaangazia usawa wa kijinsia likilenga kufanya mageuzi ili kuwapa wanawake haki sawa kwa rasilimali za kiuchumi, na pia kupata umiliki na udhibiti wa ardhi na aina nyingine za mali, huduma za kifedha, urithi na maliasili, kwa muji
Kama asilimia 95 ya wanawake wanawake katika jamii yake chini Uganda, wamekeketwa. Margaret Chepoteltel alikeketwa (FGM) utotoni na kutumbukia katika madhara ya kiafya katika maisha yake yote.
Katika jarida la mada kwa kina hii leo kutoka Umoja wa Mataifa Grace Kaneiya anakuletea
-Leo ni siku ya maji duniani na Umoja wa Mataifa umesisitiza kila mtu kutambua thamani ya rasilimali hiyo muhimu ili kuhakikisha watu wote wana fursa ya kuipata kote duniani
Kifo cha Rais wa Tanzania John Magufuli kimegusa viongozi mbalimbali ukiwemo Umoja wa Mataifa, mashirika yake na marais na hata viongozi wastaafu kama anavyosimulia Flora Nducha katika taarifa hii baada ya kurambaza kwenye mitandao ya kijamii.
Katika Jarida maalum la Umoja wa Mataifa hii leo, Grace Kaneiya anakuletea
-Salamu za rambirambi zaendelea kutolewa kutoka Umoja wa Mataifa, mashirika yake na viongozi mbalimbali kufuatia kifo cha Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kilichotokea jana Machi 17
Nchini Uganda kazi ya kuwapatia chanjo dhidi ya ugonjwa wa Corona au COVID-19 wafanyakazi walio mstari wa mbele wakiwemo wahudumu wa afya imeanza kufuatia taifa hilo la Afrika Mashariki kupoke