UGANDA

Uganda na uungaji mkono wa juhudi za UN za kuleta amani Somalia

Kikosi cha walinda amani 530 kutoka Uganda kipo nchini Somalia kwa ajili ya kusaidia kuleta amani na utulivu. Kikijumusha wanawake 63 na wanaume 467, kikosi hicho ni sehemu ya kikosi cha ulinzi cha Umoja wa Mataifa, UNGU, ambacho jukumu lake ni kulinda maeneo ya Umoja wa Mataifa kwenye mji mkuu Mogadishu ili kusaidia ujumbe wa umoja huo nchini Somalia, UNSOM na ofisi ya usaidizi wa Somalia, UNSOS ziweze kutekeleza mamlaka zao.

Je wafahamu kuna vazi linaloweza kukuepusha na Malaria ?

Kila uchao harakati zinaendelea ili kuhakikisha kuwa ugonjwa wa Malaria uliosababisha vifo vya watu zaidi ya 400,000 mwaka 2017 unatokomezwa duniani kote.

Sauti -
4'13"

Uganda ni miongoni mwa nchi tano barani Afrika zenye wagonjwa wengi wa saratani ya shingo ya uzazi

Shirika la afya duniani WHO limesema kimataifa eneo la Afrika Mashariki linabeba mzigo mkubwa wa saratani ya shingo ya uzazi huku Uganda ikiwa miongoni mwa nc

Sauti -
2'18"

Wanawake 8 kati ya 10 wanaofika kituo cha saratani Uganda wana saratani ya shingo ya kizazi

Shirika la afya duniani WHO limesema kimataifa eneo la Afrika Mashariki linabeba mzigo mkubwa wa saratani ya shingo ya uzazi huku Uganda ikiwa miongoni mwa nchi tano barani humo zenye wagonjwa wengi. 

24 Aprili 2019

Wiki ya chanjo imeanza hii leo duniani kote na tunaelekea Mali kuona jinsi gani taifa hilo limechukua hatua hata kutumia punda na pikipiki kufikisha chanjo kila kona ya taifa hilo la Afrika Magharibi.

Sauti -
11'28"

Ardhi ya kuazima yamwezesha mkimbizi kutoka Sudan Kusini kulea watoto yatima

Ukarimu wa Uganda wa kuwapatia maeneo ya kilimo wakimbizi kutoka Sudan Kusini, umewezesha wakimbizi kusaidia jamii zinazowazunguka wakiwemo watoto yatima nchini humo.

Sauti -
2'3"

22 Aprili 2019

Hii leo jaridani,  Arnold Kayanda anaanzia makao makuu ya Umoja wa Mataifa ambapo Jukwaa la kudumu la watu wa asili linaanza na tumezungumza na Dkt. Elifuraha Laltaika ambaye ni makamu mwenyekiti wa jopo la wataalamu huru wa masuala ya watu wa asili.

Sauti -
11'57"

Ardhi ya kuazima yamwezesha mkimbizi kutoka Sudan Kusini kulea watoto yatima

Ukarimu wa Uganda wa kuwapatia maeneo ya kilimo wakimbizi kutoka Sudan Kusini, umewezesha wakimbizi kusaidia jamii zinazowazunguka wakiwemo watoto yatima nchini humo.

Wanaume Uganda wafunguka kuwezesha wake zao.

Kuna msemo ukiwezesha mwanamke unawezesha jamii, ingawa mzigo huo wa kumwezesha mwanamke mara nyingi umekuwa hautiliwi maanani na wananaume hususan katika kuwawezesha wake zao.

Sauti -
3'23"

Wanawake Uganda, vinara wa kuwalinda Sokwe wasitoweke.

Kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo mabadiliko ya tabianchi yaliyosababisha binadamu kusogea zaidi katika makazi asili ya wanyama, mara kadhaa binadamu na wanyama wameingia katika mgogoro ambao unaziathiri pande zote mbili.

Sauti -
3'44"