UGANDA

Ajira kwa vijana ndio mustakabali wa taifa

Ukosefu  wa ajira kwa vijana hususan kusini mwa jangwa la Sahara ni  kizingiti kikubwa kwa maendeleo

ya mataifa mengi barani Afrika kwasababu kundi hilo ndiyo nguvu kazi ya kila taifa.

Sauti -
3'41"

27 Machi 2019

Katika Jarida la Habari la Umoja wa Mataifa hii Leo Patrick Newman anakuletea 

-Kamati ya Umoja wa Mataifa ya haki za kiuchumi, kijamii na kitamaduni yasema Italia ilikiuka haki za binadamu kumshinikiza mwanamke kubeba ujauzito na kisha ukatoka

Sauti -
11'30"

21 Machi 2019

Katika Jarida la Habari hii leo Grace Kaneiya anakuletea

-Siku ya kutokomeza ubaguzi wa rangi duniani wito umetolewa na UN  kukomesha aina zote za  itikadi na misimamo ya chuki vilevile ubaguzi wa kisiasa na kijamii

Sauti -
11'52"

Hata kama wana matatizo ya kujifunza , elimu ni haki yao- Michael Okiro

Leo ni siku ya ugonjwa unaoathiri uwezo wa kujifunza duniani au Down syndrome, ukiwa umebeba kaulimbiu   “kutomuacha mtu yeyote  nyuma kielimu” suala ambalo ni  changamoto kubwa kwa nchi nyingi. Hata hivyo kwa mujibu wa shirika la afya duniani hatua zimeanza kuchukuliwa na baadhi ya mataifa kutimiza lengo la kuhakikisha watoto wanaozaliwa na matatizo uwezo wa kujifunza wanapata elimu. Uganda ni miongoni mwa nchini zilizopiga hatua kwa kuweka sharia za kuhakikisha   elimu inatolewa bure kwa watu wenye ugonjwa huu.

WFP na serikali wachunguza madai ya kutiwa sumu katika chakula cha WFP Uganda.

Shirika la Mpango wa chakula duniani (WFP) linashirikiana na serikali ya Uganda kuchunguza kilichosababisha kuugua kwa watu zaidi ya 282 baada ya kupokea msaada wa chakula aina ya nafaka kutoka kwa WFP.

Sauti -
2'3"

Wanawake Afrika Mashariki waleta maendeleo katik jamii husika

Dunia ikiadhimisha siku ya wanawake duniani masuala mengi yameangaziwa, ikiwemo umuhimu wa kumwezesha mwanamke lakini suala ambalo ni la msingi na wakati mwingine halimulikwi ni mchango wa wanawake wenyewe katika kujikwamua na hata kuikwamua jamii kupitia shughuli wanazozifanya.

Sauti -
5'9"

Wanawake Afrika Mashariki na namna wanavyoleta mbadiliko katika jamii

Dunia ikiadhimisha siku ya wanawake duniani masuala mengi yameangaziwa, ikiwemo umuhimu wa kumwezesha mwanamke lakini suala ambalo ni la msingi na wakati mwingine halimulikwi ni mchango wa wanawake wenyewe katika kujikwamua na hata kuikwamua jamii kupitia shughuli wanazozifanya.

Mwanamke ajikwamua kwa juhudi zinazojali mazingira, Uganda

Wakati ulimwenguni kukishuhudiwa mabadiliko ya tabianchi na athari zake Umoja wa Mataifa unahimiza nchi na watu binafsi kushiriki katika kuyalinda mazingira kwa njia mbali mbali ikiwemo kugeuza athari kuwa faida. Uchafuzi wa hewa na ukataji miti ni miongoni mwa changamoto ambazo zinajitokeza kati

Sauti -
3'48"

Kituo cha kikanda cha kukabili Ebola chapatiwa dola 500,000

Fuko kuu la misada ya dharura ya Umoja wa Mataifa, CERF hii leo limetoa dola 500,000 kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha pamoja cha kukabili na kuchukua hatua dhidi ya Ebola katika ukanda wa Afrika Mashariki.