UGANDA

Uendelevu wa uhakika wa chakula wamulikwa, Uganda

Ukosefu wa uhakika wa chakula na lishe hutokea wakati watu wanakosa fursa ya kuchagua, wanakuwa na wasiwasi kuhusu kuishiwa na chakula na wanalazimika kubadilisha ratiba ya kupata mlo kwa sababu za kiuchumi.

Sauti -
3'47"

Lugha ya kityaba iko hatarini kupotea nchini Uganda

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya lugha ya mama hii leo Umoja wa Mataifa umesema lugha na utofauti wake wa utambulisho, kuwasiliana, kushirikiana kijamii, elimu na maendeleo ni muhimu kwa ajili ya binadamu na sayari dunia.

Sauti -
3'45"

Kijana mkimbizi aanzisha radio kambini, wakimbizi wakisisitiza umuhimu wake Kyangwali, Uganda

Wakati dunia ikiadhimisha siku ya radio hii leo, shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na utamaduni, UNESCO limsema ra

Sauti -
4'

Mwalimu wa kike aanzisha biashara inayotoa fursa za ajira kwa wengine Uganda

Wanawake wanajumuisha takriban asilimia 52.5 ya nguvu kazi na ni kiungo muhimu katika kufanikisha melengo ya maendeleo endelevu, SDGs, hususan katika sekta ya ujasiriamali kwenye biashara ndogo ndogo na za wastani.

Sauti -
3'59"