UGANDA

26 Novemba 2018

Jaridani hii leo na Arnold Kayanda twaelezwa kuwa bado wanawake wanapata mshahara mdogo zaidi kuliko wanaume, hata kwenye nchi zilizoendelea. Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa imeweka bayana suala hilo.

Sauti -
9'57"

Vijana washauriwa kuwa vita havina maana

Tofauti za kikabila, kidini na kijamii ni miongoni mwa  vichocheo vya ghasia katika kambi za wakimbizi nchini Uganda ambako ni hifadhi ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, Sudan Kusini, Rwanda , Ethiopia na Somalia.

Vijana washauriwa kuwa vita havina maana

Tofauti za kikabila, kidini na kijamii ni miongoni mwa  vichocheo vya ghasia katika kambi za wakimbizi nchini Uganda ambako ni hifadhi ya wakimbizi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, Sudan Kusini, Rwanda , Ethiopia na Somalia.

Sauti -
1'49"

Tushirikisheni ili tujiepushe na vitendo viovu- Vijana

Vijana wanaoshiriki jukwaa la Umoja wa Mataifa la muungano wa ustaarabu mjini New York Marekani wametoa wito wa ujumuishwaji wa vijana katika utafutaji wa suluhu ya changamoto zinazoikabili dunia hivi sasa ikiwemo kujihusisha katika vitendo vya uvunjivu wa Amani na itikadi kali.Siraj Kalyango na

Sauti -
1'38"

UNESCO yasema kila mmoja atapata hasara ikiwa elimu ya mkimbizi na mhamiaji ikipuuzwa.

Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa ya kufuatilia elimu ikisema idadi ya watoto wahamiaji na wakimbizi duniani waliofikisha  umri wa kwenda shule ikiongezeka na kukaribia kujaza madarasa nusu milioni, Uganda ni miongoni mwa nchi 10 zilizopongezwa kwa kuwapatia wakimbizi fursa sahihi ya elimu

Sauti -
1'22"

UN imesaidia Uganda kusongesha teknolojia ya habari na mawasiliano

Uganda imepiga hatua kubwa katika sekta ya  teknolojia ya habari na mawasiliano auTEHAMA ambapo hivi sasa asilimia 79 ya raia wake wanapata huduma za mawasiliano kupitia Broadband.

Sauti -
1'49"

08 Novemba 2018

Jaridani hii leo Siraj Kalyango anaanzia huko Amerika ya Kusini ambako yaelezwa kuwa idadi ya wakimbizi  na wahamiaji kutoka Venezuela imefikia milioni 3.

Sauti -
12'52"

Ili kuzuia Ebola kuenea nchini Uganda, chanjo kutolewa kwa wahudumu wa afya.

Kufuatia mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, mara mbili tangu mei mwaka huu, shirika la afya duniani WHO kwa kushirikiana na serika

Sauti -
2'

07 Oktoba 2018

Katika jarida la Umoja wa Mataifa leo Siraj Kalyango anaangazia

-Chanjo ya Ebola kwa wahudumu wa afya Uganda imeanza katika kujihadhari kabla ya shari

Sauti -
11'35"

Uganda yajihadhari kabla ya shari kwa kuchanja wahudumu wa afya dhidi ya Ebola:WHO

Kufuatia mlipuko wa Ebola nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC, mara mbili tangu mei mwaka huu, shirika la afya duniani WHO kwa kushirikiana na serikali ya Uganda wameanza kuchukua hatua ya kuwachanja wahudumu wa afya kuepusha kusambaa kwa ugonjwa huo ambapo tayari watu 180 wamethibitishwa kufariki dunia kutokana na Ebola.